Ushirikiano wa Billnass, Gnako, Whozu, S2Kizzy, Apuki, na DJ Jozzey kwenye wimbo “Kinamba Namba” umeleta msisimko mkubwa kwa mashabiki wa muziki. Ngoma hii ya nyota wengi imekusanya vipaji vya kipekee kutoka kwenye tasnia ya muziki nchini, na kuunda wimbo wenye nguvu na vibe ya kipekee yenye dance moja ya kinyamwezi sana. Billnass, anafahamika kwa mistari […]


http://dlvr.it/TChRzJ