Washindi wa Simu Mpya aina ya Samsung Watangazwa na Mdundo.com Mdundo.com imetangaza washindi wawili wa simu mpya za Samsung katika kampeni yao ya saba saba iliyowagusa wapenzi wa muziki kutoka sehemu mbalimbali nchini. Katika kampeni hiyo, watumiaji walihimizwa kupakua DJ mixes kutoka mdundo kwa nafasi ya kushinda zawadi hii ya thamani. Washindi Boniphace kutoka Katoro, […]


http://dlvr.it/TCFwGy