Faustina Charles Mfinanga anayejulikana kama “Nandy ama African princess” ni mmoja wa waimbaji maarufu nchini Tanzania. Alianza safari yake ya muziki akiwa na umri mdogo, na alijitambulisha kwenye anga za muziki kupitia sauti yake ya kipekee na mtindo wa kisasa. Safari ya muziki ya Nandy ilianza rasmi mnamo mwaka wa 2014 alipoanza kutunga nyimbo na […]


http://dlvr.it/TCRh8n