Kwenye historia ya hip hop nchini Tanzania, jina la Albert Mangwea ni lazima litajwe. Huwezi kuzungumzia muziki huu bila kumkumbuka mkali huyu. Mangwea hakuwa tu msanii wa rap, bali alikuwa mwasisi aliyechochea mapinduzi kwenye tasnia ya hip hop Tanzania. Katika kusherehekea miaka 51 ya hip hop, hatuwezi kusahau urithi wake ambao umeacha alama isiyofutika kwenye […]


http://dlvr.it/TC1sfR