Umewahi kukutana na wimbo wenye mdundo unaovutia ambao unawakilisha mizuka wa mji wako,lugha yako , kijiji chako, au tamaduni zako? Hiyo basi ndio lengo kuu la mdundo kuamua kufikia tamaduni zako kwa kukupa fursa ya kupakua mziki wa kitamaduni au wa lugha za kiafrika ambazo ni tofauti tofauti. Hivyo katika makala haya ya “Mdundo Story” […]


http://dlvr.it/T7TDhH