Tunapoanza wiki mpya katika mwezi huu wa Machi 2021, Mdundo umekuandalia mixtapes tano mpya za kukusisimua na kukuchanagamsha unapoendelea na shughuli zako. Mixtape hizi zina mchanganyiko wa wimbo moto moto kutoka kwa wasanii tajika eneo la Afrika Mashariki. Hii hapa orodha ya mixtape tano mpya zilizo kwenye Mdundo Tanzania unazofaa kupakua na kusikiliza mwezi huu: […] The post Mixes Tano Bora za Kupakua Kwenye Mdundo Wiki Hii appeared first on YINGA MEDIA.
http://dlvr.it/RvJpxr