Msanii tajika kutoka lebo ya Wasafi Rayvanny na mkurugenzi mkuu wa lebo ya Konde Music Worldwide ni miongoni mwa wasanii wanaofanya vizuri nchini Tanzania. Wasanii hawa walifanya kazi pamoja Harmonize alipokuwa bado kwenye lebo ya WCB, lakini wakaanza kuwa na utatanishi hapo Harmonize alipojitoa na kuanza lebo yake. Katika nakala hii, tunaangazia mixtapes bora zenye […] The post Harmonize na Rayvanny: Pakua Mixtape Zao 5 Bora Kwenye Mdundo appeared first on YINGA MEDIA.
http://dlvr.it/RvlwWj